KUIFUNGIA UWAKOTA NI UONEVU

Kitendo cha serikali kuufungia umoja wa wakulima wa korosho wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara ni uonevu wa dhahiri.

Katika barua ya serikali ya Oktoba, 16, inasema uwamuzi huo wa serikali umetokana na madi kuwa Uwakota ulijihusisha na ununuzi wa kangomba msimu uliopita.
Kusini ilitembelea tandahimba na kukuta ununuzi wa korosho kupitia kangomba ukiendelea ili hali wakota umefungiwa.
katika mazingira hayo ni dhahiri kuwa serikali imuuonea uwakota

Advertisements