UKIRITIMBA UPATIKANAJI WA PETROLI MTWARA SERIKALI IPO WAPI?

Mji wa Mtwara kwa takribani mwezi sasa upatikanaji wa mafuta ya petroli sio mzuri.

Wajanja wachache wananunua petroli na kuifadhi, kisha wanakula dili na wauza mafuta waache kuuza mafuta ili wauze kwa bei ya juu kisha wagawane, hivi serikali yetu ipo wapi?