KUHUSU NDANDA SEKONDARI

Taswira ya mbele ya shule ya sekondari Ndana

Poleni kwa usumbufu uliojitokeza juu ya upatikanaji wa fomu kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya juu ya wavulana Ndanda, iliyopo Masasi mkoani Mtwara.

Wengi wameniandikia wakilalamika kuwa fomu hizo hazipatikani kwenye tovuti ya shule (www.ndandaseco.dinstudio.com), kwanza naomba mufahamu kuwa mmiliki wa blogy hii si mhusika wa Ndanda sekondari bali mchapishaji wa habari hiyo.

hata hivyo nawaahidi wasomaji wangu kuwa nitafuatilia suala la fomu kwa wahusika na nitahakikisha zinapatikana katika kituo chenu cha habari cha KUSINI, endela kutembelea KUSINI ili upate ufumbuzi wa tatizo lako na uhabarike zaidi

Advertisements