FOMU ZA MASHARTI NDANDA HIZI HAPA

Fomu za masharti; bofya kwenye maneno yaliyopigiwa mstari hapo awali ili uweze kupata fomu za masharti ya kurejea mwanafunzi shuleni.

Wanafunzi wa shule ya sekondari Ndanda

Kutokana na umuhimu wake KUSINI imewaletea ufumbuzi wa tatizo lililokuwa linawakabali wasomaji wetu. Tunaomba waarifuni na wazazi au wanafunzi wegine kuwa fomu zinapatikana kwenye ( kusini.wordpress.com)

Kila la heri.

Daima KUSINI ni kituo cha fikra pevu

utawala

Advertisements