MTAJI WA MASIKINI NGUVU ZAKE MWENYEWE

Vijana wa kijiji cha kilambo mkoani Mtwara wakipakia mabalo ya mitumba kwenye Mitumbwi tayari kwa kuvusha kwenda nchini Msumbiji kama walivyonaswa jana na KUSINI

Meneja wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) tawi la Mtwara, Omari Kilimo (kulia) akimkabidhi kitita cha sh. 500,000 mshindi wa tatu wa shindano la Shinda na TPB Popote linaloeneshwa na benki hiyo, Hamis Swila (34) wanafunzi wa chuo cha Utumishi wa Umma mjini Mtwara, wanaoshuhudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo, hafla hiyo imefanyika ofisini hapo mwishoni mwa wiki. Picha na KUSINI

Advertisements