UJENZI WA DARAJA NANGOO SASA UNEANZA

Mafundi wakisuka nondo tayari kwa ujenzi wa daraja la Nangoo, wilayani Masasi mkoani Mtwara. daraja hilo lilibomolewa na mafuriko mwaka 1990. picha na KUSINI