KATIBA TUIPENDAYO

Toa maoni yako juu ya aina ya Katiba tuipendayo ili tuweze kukuza uelewa wa sula hili nyeti kwa taifa letu.

Kwa kuanza KUSINI inasema hivi

Kuwepo na serikali Tatu, yaani ya Tanganyika, Zanzibar na ya Muungano, Au Zanziba ifutwe tubaki na Tanzania bara na visiwani

Hoja ya pili, Rasilimali za eneo husska zitumike kunufaisha wananchi wa eneo hilo kabla ya kunufaisha wengine

DC, RC vyeo hivyo vya kikoloni vifutwe, JE WEWE UNASEMAJE?

Advertisements