JE, KWA MTINDO HUU TUTAFIKA?

Mkunga wa jadi ambaye hakufahamika jina lake mara moja akiwa amempakata kichanga muda mfupi baada ya kumsadia kujifungua mjamzito, katika kijiji cha Chikolopola wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, wakazi wa kijiji hicho wanalazimika kuwatumia wakunga wa jadi kutokana na umbali wa huduma za afya kijijini hapo. Picha na KUSINI

Advertisements