WANAFUNZI WANAOGOPA MIMBA SIO UKIMWI

Mimba utotoni

Katika hali isyokuwa ya kawaida wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi mkoani Mtwara, Tanania wanaogopa kupata mimba kuliko Ukimwi

Uchunguzi wa KUSINI katika wilaya za Tandahimba, newala na Nanyumbu mkoani Mtwara umebaini kuwa watoto hao wanalazimika kutumia sindano, vidonge vya uzazi wa mpango ili wasipate mimba itakayosababisha kufukuzwa shule na kufikishwa mahakamani kwa wazazi na maboy friend wao.

Wanafunzi hao wanakiri kuwa hawatumii kondomu kujikinga na mimba na Ukimwi kwa sababu wanatumia njia hizo za uzazi.

Mwisho

Advertisements