KITUNDA NA KITENDAWILI CHA MAISHA BORA

Mwanamke mkazi wa Kitunda Manispaa ya Lindi, Tanzania akikoboa nafaka kwa kutumia machine za jadi. Picha jana na KUSINI

Watoto katika kijiji cha Kitunda Manispaa ya Lindi wakicheza mpira wa miguu kama walivyonaswa jana. Picha na KUSINI

Wanawake wa kijiji cha Kitunda, Manispaa ya Lindi wakiwa wamebeba kuni kwa matumizi ya nyumbani. Picha jana na KUSINI

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Mwendesha Mtumbwi akipakia Mkaa tayari kwa kuuvusha kutoka Kitunda hadi Lindi mjini. Picha na KUSINI

Mkurugenzi Mtendaji wa KUSINI akisafiri kwa Mtumbwi kuelekea Kitunda, Manispaa ya Lindi jana. Picha na KUSINI

Advertisements