Dk. ULIMBOKA MAHUTUTI

Hali ya Dk. Steven Ulimboka ni mbaya. Taarifa kutoka Afrika ya Kusini alikolazwa kwa matibabu zinaeleza kuwa kwa sasa amehamishiwa chumba cha uangalizi maalum (ICU) akiwa hajifahamu kabisa na anapumua kwa msaada wa mashine.

Dk. Steven Ulimboka akiwa amelazwa hospitali kwa matibabu

Advertisements