Waandishi wa kusini wanolewa kuhusu ‘internet’

Washiriki wakifuatilia mada kwa makini

Waandishi  wa Habari 22 wa

Mambo ya mafunzo

mikoa ya Mtwara na Lindi leo (Agosti, 23, 2102) wameanza kupatiwa mafunzo ya siku tatu ya matumizi ya ‘Internet’ kukusanya habari na kuzisambaza.

Tunafuta ujinga

Mafunzo hayo yanayofanyika Chuo Kikuu Cha Stella Maris mjini Mtwara yamefadhiliwa na Taasisi ya Maendeleo ya Habari Kusini mwa Afrika tawi la Tanzania (MISA Tan)na kuwezeshwa na Seif Jige.

Huyu jamaa sijui mzee wa kombati au anampa hai mpiga picha wetu

Hassan Simba ni mwandishi wa habari wa gazeti la Habarileo mkoani Mtwara ni mmoja wa wanaohudhuria mafunzo hayo anasema yatasaidia kukuza uwelewa juu ya matumzi ya mtandao huo katika kupata habari kutoka kona zote za Dunia.