WAANDISHI MTWARA WAKUMBUSHWA MAADILI

Chrysostom Rweymamu na Deodatus Mfugale wawezeshaji wa mafunzo ya maadili

Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mtwara  leo wameanza mafunzo ya maadili ya taaluma yao kwa mda wa siku tatu.

Mafunzo hayo yanayoendeshwa na baraza la Habari Tanzania, yanawezeshwa na waandishi nguli wa tasnia ya habari, Chrysostom Rweymamu na Deodatus Mfugale kutoka Dar es Salaam.

Advertisements