TUMESHINDWA KUMUENZI NYERERE KWA MENGI, HATA BAO?

This slideshow requires JavaScript.

“Tumeshindwa kumuenzi Nyerere kwa mambo mema aliyoasisi, tumeacha kufuata manzuri tunafuata ya kijinga, sisi tumeamua kumuenzi japo kwa kucheza bao” ndivyo mmoja wa wachezaji wa mchezo huo alivyosikika huku akijigamba kumfunga super mwenzie

Advertisements