TANESCO MTWARA: HATUNA TATIZO LA MITAMBO

This slideshow requires JavaScript.

MWENYEKITI wa CCM mkoa wa Mtwara, Mohamed Sinani akikagua mitambo ya kufua umeme baada ya kupata taarifa za mitambo hiyo kutofanyiwa ukarabati kwa miezi minne mfululizo hali iliyozua wasiwasi wa mashine hizo ‘kubuma’

Habari hizo zilikanushwa na Meneja wa Kituo hicho, Mkulungwa Masunga kwa kwa maelezo kuwa mashine hizo zimefanyiwa ukarabati licha ya kukiri kuwa kulikuwapo na ucheleweshaji wa fedha na vifaa kutoka TANESCO makao makuu

Mwisho

Advertisements