ELIMU YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI MTWARA

This slideshow requires JavaScript.

WANAFUNZI wa shule 29 za msingi Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani hapa wamepatiwa mafunzo ya usalama barabarani yatakayowawezesha kujikinga na ajali.

Mafunzo hayo yametolewa chini ya ufadhili wa BG Tanzania, kampuni ya gesi inayofanya kazi mkoani Mtwara