WAKAZI WA KIGAMBONI ACHENI KUDEKA

This slideshow requires JavaScript.

WAKAZI wa Kijiji cha Kitunda Manispaa ya Lindi mkoani humo wamewataka wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam kuacha kudeka kwa kulalamikia nauli juu ya kivuko na kutaka kujifunza kwao ambao wanalipia nauli ya sh. 400 katika Mtumbwi.

Hivi karibuni wakazi wa Kigamboni waliilalamikia serikali kupandisha nauli za kivuko 200 kutoka sh. 100 hali iliyozua mjadala mkubwa kutokana na kauliya Waziri John Magufuli kusema kuwa asiyetaka apige bizi.

Tofauti na wakazi hao, wakazi wa Kitundawamesema wao wamekuwa wakilazimika kulipa bei kubwa kwenye usafiri usio na uhakika na kuweka maisha yao rehani.

“Wambie wa kigamboni waachekudeka, wajewaone maisha huku…tangu dunia imeubwa hatujui kivuko cha serikali, sisi namitumbwi tu nanaulikama hivyo” alisema Rajabu Msala (35) mkazi wa Kitunda

Mwisho

Advertisements