WACHA KUSINI IITWE KUSINI MAANA NI MWISHO WA KILA KITU

This slideshow requires JavaScript.

WASWAHILI husema shangaa mara moja ya pili uliza, kama unavyotakiwa kushangaa usafiri huu ambao ni wa kawaida kwa wakazi wa Kitunda, Manispaa ya Lindi.

Hapa ni kama vile Posta na kwenda Kigamboni, kwa wale wakazi wa Mtwara ni kama vile Feri na Msangamkuu.

Wakazi hao wahajawahi kuvuka kwa kutumia pantoni, kwao mitumbwi kama hii ndiyo wanakula maisha.

Usiniulize, hauli hapa ni sh. 400 tu kwa kila abiria.

Advertisements