WATOA SADAKA YA DAMU

Waislamu wa Jumuiya ya Shia Ithna Asheri Mtwara Mikindani wakichangia damu jana, ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya kifo cha mjukuu wa Mtume Mohamad (SAW), Imam Hussein (AS) aliyeuawa katika vita na wanaopinga usilam miaka ya 672 nchini Iraq.

Advertisements