HERI YA MWAKA MPYA

Anaba, Mhariri Mtendaji KUSINI

Anaba, Mhariri Mtendaji KUSINI

UONGOZI wa kusini.wordpress.com inawatakiwa kheri ya mwaka mpya wasomaji wtu wote.

Tunawashukuru kwa kutuunga mkono mwaka 2012 na tunaomba ushrikiano huo uzidi mwaka 2013 ili azima yetu ya kupashana habari zenye uhakika na kuzingatia weledi itimie.
Kumbuka kusini.wordpress.com ndiyo kimbilio letu

Mhariri Mtendaji

Advertisements