MAFURIKO MTWARA

Maeneo ya Skoya, barabara ya kwenda soko kuu Mjini Mtwara. picha Marry Sanyiwa

Maeneo ya Skoya, barabara ya kwenda soko kuu Mjini Mtwara. picha Marry Sanyiwa

NI mvua kubwa iliyonyesha usiku wa juzi kuamkia jana saa Sita mchana imesababisha baadhi ya abarabara za mjini Mtwara kujifungwa kwa mda kutokana na kufurika maji, kubomoka kwa nyumba na uharibifu wa miundombinu.

Hata hivyo hakuna kifo kilichotokea kutokana na mvua hizo.
Mwisho

Advertisements