BURIANI OMARY OMARY

Marehemu Omary Omary

Marehemu Omary Omary

MWANAMZIKI Maarufu wa Kiafrika aliyetoka na muziki wa Mchiriku a.k.a Mnanda Omary Omary amefariki Dunia jana jioni baada ya kuugua ghafla kifua.

Mwanamziki huyo aliyetamba kwa nyimbi kama ile ya Mfungwa hachaui Gereza, Ndefu amekosa Ng’pmbe lakini Mbuzi kapewaaa…lolololooo, usinione mzembe kupata ni majaliwaaa….hautazikwa na pesa…amefariki katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Habari zinasema Ghafla alijisikia kifua kinambana na alipokimbizwa hospitali, Mungu alimpenda zaidi na kumchua.

Inalilah wainailahin rahuuni…..kazi ya mungu aina makosa, sote wa Mwenyezimungu na kwake tutarejea

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake Peponi Amin
Mwisho

Advertisements