CUF MTWARA CHAANZA MIKUTANO YA OKOA GESI

tzcufCHAMA cha Wananchi (CUF) wilaya ya Mtwara mjini kinatarajia kuanza mikutano yake ya okoa gesi mjini Mtwara leo katika Mtaa wa Sinan.

Kwa mujibu wa katibu wa chama hicho Saidi Kulaga mkutano huoutaanza saa 10 jioni ambapo utazungumzia gesi na mustakabali wa wakazi wa mikoa ya kusini
Mwisho