MWANZA KIMENUKA

polis kazini Mwanza

polis kazini Mwanza


POLISI mkoani Mwanza wanapambana na waendesha pikipiki (Bodaboda) wanaoandamana kupinga doria za polisi wanaotumia pikipiki kuwakamata.

Polisi wanatumia mabomu ya machozi kuwatanywa ili hali nao wakijihami kwa mawe.
Hadi sasa barabara uya kwenda uwanja wa Ndege imefungwa kutokana na vurugu hizo, hata hivyo hali bado si shwari hadi sasa.
Mwisho

Advertisements