MAHAKAMA YACHOMWA MOTO BARABRA ZAFUNGWA

Ukumbi wa chumba cha mahakama ya mwanzo ukiwaka motoM PICHA NA MTANDAO

Ukumbi wa chumba cha mahakama ya mwanzo ukiwaka moto

UKUMBI wa mahakama ya Mwanzo umewashwa moto usiku huu…awali moto huoulichomwa katika vyoo vya mahakama hiyo lakini sasa ukumbi unawaka moto….vurugu zinaendelea

Barabara nyingi za Mtwara mjini hazipitiki baada ya kufungwa kwa magogo, mawe na matairi yaliyochomwa moto

Advertisements