POLISI WAZIDIWA NGUVU MTWARA

1KUNA kila dalilipolisi wilayani Mtwara kuzidiwa nguvu na vurugu za wananchi, ambapo kwa sasainadaiwa fuso tano kutoka wilaya ya tandahimba, zipo njiani kuwaongezea nguvu wananchi wa Mtwara.

Tayari gari moja la polisi limekwenda Naliendele kukabiliana na wananchi hao wa Tandahimba iwapo watawasili.

Tayari barabara nyingi za mjini hazipitikina jitihada za polisi za kuzima ‘mziki’ huo hazioneshi kuzaa matunda.

Tangu asubuhi jhali ilikuwa tete hadi saa hizi, kuna habari polisi wanaomba kuongezewanguvu kutoka wilaya zingine za mkoa huo.
Endelea kufuatilia Kusini kwa habari zaidi