GEREZA LAVAMIWA WAFUNGWA HURU, HALI BADO TETE

Nyumba ya Mariam Kasembe..picha na Laizer Albert

Nyumba ya Mariam Kasembe..picha na Laizer Albert


HABARI zinadai kuwa katika tukio la jana wafungwa gereza la Masasi walifunguliwa na wananchi hao baada ya kuvamia na askari magereza waliokuwa kutimua mbio.

Katika vurugu za jana inadaiwa kundi kundihilo la vijana walifika gerezani na askari kutimua mbilo kitendo kilichowapa mwanyawa kuwafungulia wafungwa.

Inadaiwa wafungwa walitoka gerezani na kujichanganya na raia, hata hivyo mamlaka husika bado hazijatoa uthibitisho wa matukio yote ya jana huku wakiahidi leo mchana kuyatolea ufafanuzi.
Licha ya kuwapo kwa hali tete ya kiusalama wilayani Masasi kufuatia

vurugu zlizosababisha watu Saba kupoteza maisha, hali inaripotiwa kuwa shwari kiasi na shughuli za kijamii zinaendelea kama kawaida.
Hata hivyo polisi wanaendelea na doria huku mabomu ya machozi yakisikikakwa uchache.

Hata hivyo hofu imeendelea kutanda miongoni mwa jamii, kwa kile kinachodaiwa kuwa huwedna vijana hao wakajipanga kulipa kisasi kwa vifo vya wenzao Sita.

Familia za polisi nyingi zililala kambi ya jeshi na wengine kituo cha polisi.kutokana na kusambaa kwa habari za vitisho vya kuvamiwa kwa polisi.
Mwisho

Advertisements