LOWASSA ATUA MTWARA

1

2

3

4
Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Mtwara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Mtwara jana, kuudhuria mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rashidi Makame, kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara Mohamedi Sinani. Picha na KUSINI

Advertisements