MBWA WA POLISI TOKA RUVUMA WAWASILI MTWARA

MBWA wa polisi kutoka songea mkoani Rvuma wamewasili mkoani Mtwara kuimarisha ulinzi.

Habari za ndani ya jeshi la polisi mbwa hao watatumika kukamata watia vurugu.

Iakumbukwa kuwa tangu saa tano asubuhi mji wa Mtwara ulitawaliwa na milio ya mambomu na bunduki hadi saa 12 jioni ilipotulia, kwa sasa milio hiyo inaiskika mara chache baada ya nusu saa

Endelea kfuatilia KUSINI