MTANZANIA AJERUHIWA, JESHI LALIPUA JENGO

Askari kazu wakijaribu kudhibiti eneo la tukio

Askari kazu wakijaribu kudhibiti eneo la tukio

Mtanzania Vedastus Nsanzugwanko adhuriwa na Al-Shabaab katika Shambulio la WestGate – Nairobi

Kwa mmujibu wa BB Jeshi nchini Kenya limeamua kulipua sehemu ya jengo hilo ikiwa ni jitihada za kuwadhibiti al- shabab walioammia jengo hilo.

ilio ya bunduki imeendelea kusikika huku jeshi ikizingira eneo zinga la jengo hilo

Advertisements