MWANDISHI REDIO ONE APIGWA RISASI

Ufoo Saro mwandishi wa habari wa ITV

Ufoo Saro mwandishi wa habari wa ITV

Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mume mtarajiwa wa Ufoo Saro Bw Mushi amempiga risasi mwandishi wa habari wa ITV Ufoo Saro na kumjeruhi tumboni huku akimuua mama mazazi wa Ufoo Saro na kisha kujiua yeye mwenyewe kwa risasi huko maeneo ya Kibamba, inadaiwa chanzo cha tafurani hilo ni mzozo wa kimapenzi.
Chanzo: Radio One

Advertisements