MaKuYa yafana Mtwara

1378572_10202209111731518_1906005130_n[1]

1402067_10202209123691817_198554239_o[1]

1397169_10202209118051676_422058234_o[1]

Picha za matukio ya Tamasha la ngoma za asili la makabila ya Wamakonde, Wamakuwa na Wayao linalojulikana kama MaKuYa linaloendelea mkoani Mtwara.

jumla ya vikundi vya ngoma 14 vimeshiriki.

Picha zote na Charles Kayoka

Advertisements