Kuhusu Blog

Enyi uliobahatika kuzaliwa na kuishi kusini mwa Tanzania, kusini mwa Afrika na kusini mwa Dunia

Ninayo furaha kubwa kuwatambulisha jukwaa la kujadiliana juu ya masuala mbalimbali yanaohusu maendeleo ya kusini, changamoto na mustakabali wa maisha ya baadaye.

Nawakaribisha katika jukwaa hili la upashanaji habari kama njia pekee ya kuleta mabadiliko ya kweli katika jamii yetu.

Ni vema basi tukajikita zaidi kwenye masuala yenye tija manufaa kwetu, badala ya matusi, kashifa na malumbano yasiyo na msingi,tukiitumia nafasi hii vizuri tunaweza kuwa tumepata nafasi nyingine ya kusogea katika maendeleo ya kweli.

ok karibuni by Hassan samba, Mwenyekiti wa bodi ya uhariri.

Advertisements