WATIMUENI KWA ADABU VIONGOZI WENU

MSIWATIMUE HOVYO VIONGOZI WENU WAKAZI wa vijiji vya kata na tarafa ya Nanyamba wilaya ya Mtwara mkoani hapa, wameaswa kutowatimua madarakani viongozi wao wa vijiji na vitongoji au kuwazomea mbele ya viongozi wa… Continue reading

Rate this:

MRENGO YAIKUNA SERIKALI

MRENGO NA WADAU ASASI zisizo za kiserikali mkoani Mtwara zimetakiwa kuiga mfano wa mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani humu MRENGO kuelimisha jamii juu ya masuala mbalimbali ikiwemo utunzaji wa mazingira, na… Continue reading

Rate this:

MTWARA MEDIA SACCOS HIYOOOOO

SACCOS YA WANAHABARI YAJA KLABU ya waandishi wa habari mkoani hapa imekamilisha hatua muhimu katika kuanzisha chama cha kuweka na kukopa kwa wanahabari na wadau wao kitakachojulikana kama Mtwara media saccos. Mwenyekiti wa… Continue reading

Rate this:

Permalink

MSIKUBALI KUTUMIKA MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali wilayani Newela Mkoa wa Mtwara yameaswa kutojihusisha na jambo lolote lenye taswira ya kuleta uvunjifu wa amani kwa kuchukua fedha za misaada kutoka mashirika ya kimataifa ambayo… Continue reading

Rate this:

WAWAJIBISHENI VIONGOZI WABOVU

WAWAJIBISHENI VIONGOZI WAZEMBE VIONGOZI wa vijiji, kata na wilaya wameaswa kuitisha vikao vya kisheria kwa wakati ili kutoa taarifa juu ya hali ya mambo yanavyoendelea na hivyo kujenga imani na wananchi wanaowaongoza au… Continue reading

Rate this:

Wanawake Mtwara watakiwa kuchangamkia fursa

WANAWAKE mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazojitokeza kutokana na ujio wa makampuni mengi ya uwekezaji yanayokuja mkoani humu kuwekeza katika sekta ya gesi na mafuta. Wito huo umetolewa jana na mwenyekiti… Continue reading

Rate this:

NAZINDUA KIMKOA

MKOA wa Mtwara umezindua dawa ya kuzuia maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ijulikanayo kwa jina la Option B+ ambayo mama ataanzishiwa dawa hizo mara tu atakapogundulika kuwa ana maambukizi… Continue reading

Rate this:

PEMBEJEO ZA RUZUKU

PEMBEJEO ZA RUZUKU SERIKALI imeuagiza mfuko wa kuendeleza zao la korosho nchini kupatia wakulima wa zao hilo pembejeo za ruzuku kwa wakati unaotakiwa ili kuhudumia mashamba yao kwa wakati sambamba na elimu ya… Continue reading

Rate this:

PELEKENI WATOTO SHULE

WAKAZI wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, wamehimizwa kuzingatia elimu ya watoto wao kwa kuwapeleka shule vijana wote waliochaguliwa kujiunga na masomo ya sekondari mwaka huu. wito huo umetolewa kwa nyakati tofauti na… Continue reading

Rate this:

TUMIENI FURSA HII

TUITUMIE FURSA YA GES ASILIA KUJIIMARISHA KIUCHUMI WAKAZI wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, wamehimizwa kulima mazao mbadala ya biashara ili kujiongezea kipato badala ya kutegemea korosho pekeyake kwani mazao hayo mengine yana… Continue reading

Rate this: