MBUNGE AKERWA BARABARA KUTENGENEZWA MASIKA

MBUNGE wa Tandahimba, mkoani Mtwara, Juma Njwayo ameeleza kutoridhishwa kwake na hatua zinazochukuliwa na Wakala wa Barabra Nchini (Tanroads) mkoani humo, kukarabati barabara za jimbo hilo wakati wa masika kwa madai kuwa hali… Continue reading

Rate this:

TUNAPIMANA UBAVU

Rate this:

MURJI AJIPANGA UCHAGUZI CCM

Chaguzi zitukomboe kwenye umasikini, Mhe; unaona hali hii MBUNGE wa Mtwara mjini Asnain Murji amewataka wanachama wa CCM kumaliza tofauti zao zilitokana na majeraha ya uchaguzi uliopita na kwa sasa waangazie katika kuwapata… Continue reading

Rate this:

WANAFUNZI 22 MATATANI VURUGU NDANDA

WANAFUNZI 22 MATATANI KWA VURUGU NDANDA Abdallah Bakari, Masasi. WANAFUNZI 22 kati ya 1198 wa shule ya sekondari ya juu ya wavulana Ndanda, wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara, wanatarajia kujieleza mbele ya bodi… Continue reading

Rate this:

MKUU WA MKOA ATAKA WABUNGE MTWARA KUTETEA MKOA WAO

MKUU wa mkoa wa Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia, amewataka wabunge wa Mtwara kuungana katika kupigania maendeleo ya mikoa yao, pindi wawapo bungeni. Rai hiyo ameitoa jana wakati akifunga kikao cha bodi ya… Continue reading

Rate this:

Adha ya kilimo cha korosho

Rate this:

UKIRITIMBA UPATIKANAJI WA PETROLI MTWARA SERIKALI IPO WAPI?

Mji wa Mtwara kwa takribani mwezi sasa upatikanaji wa mafuta ya petroli sio mzuri. Wajanja wachache wananunua petroli na kuifadhi, kisha wanakula dili na wauza mafuta waache kuuza mafuta ili wauze kwa bei… Continue reading

Rate this:

DIWANI ARUHUSU KANGOMBA

Abdallah Bakari, Tandahimba. LICHA ya serikali kupiga marufuku ununuzi wa korosho kupitia mfumo batili wa kangomba, diwani wa kata ya Milongodi, wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, Ramadhani Ulaya ameruhusu ununuzi huo katika kata… Continue reading

Rate this:

WAKULIMA WA KOROSHO TANDAHIMBA WAMTAKA MAGHEMBE

Abdallah Bakari, Tandahimba. WAKULIMA wa korosho wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara wamemtaka Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Profesa Jumanne Maghembe kutembelea wilaya hiyo kupata maelezo yo ya kina yatakayomwezesha kuupatia ufumbuzi mgogoro… Continue reading

Rate this:

KUIFUNGIA UWAKOTA NI UONEVU

Kitendo cha serikali kuufungia umoja wa wakulima wa korosho wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara ni uonevu wa dhahiri. Katika barua ya serikali ya Oktoba, 16, inasema uwamuzi huo wa serikali umetokana na… Continue reading

Rate this: