USAFI WA MANSPAA

MKUU wa wilaya ya Mtwara Willman Ndile, amewahimiza wakazi wa Manspaa ya Mtwara Mikindani kuendelea kujitokeza kwa wingi kushiriki katika kampeni ya kufanya usafi wa mazingira ya mji aliyoianzisha ili kuuweka mji uo katika hali ya usafi. Ndile aliyasema hayo alipokuwa akiongea mara baada ya kukamilika kwa zoezi la usafi jana katika eneo la Bima mjini hapa ambapo alisema, ni jambo jema wananchi wanapojitokeza kushiriki katika shughuli za kijamii kuoneshwa namna ambavyo serikali inajali mchango wao licha ya… Continue reading

Rate this:

RASILIMALI ZA UMMA

ASASI ZITAKAZOKULA FEDHA ZA WAFADHILI KUKIONA MKUU wa wilaya ya Newala mkoani Mtwara, Christopher Magalla, ameonya kuwa serikali itazichukuliwa hatua kali za kesheria asasi zisizo za kiserikali zitakazotumia vibaya fedha wanazopewa na wafadhili… Continue reading

Rate this:

stemmuco

MAADILI HAYAPO IMELEEZEZWA kuwa kukosa kwa maadili kwa baadhi ya viongozi nchini, wasomi kuwa walalamikaji badala ya kushiriki kuleta mabadiliko ni miongoni mwa sababu zinayochangia kuchelewesha maendeleo na kuminywa kwa utawala bora na… Continue reading

Rate this:

MIFUKO YA JAMII

KIPATO KIDOGO TATIZO KUJIUNGA MIFUKO YA JAMII. IMEELEZWA kuwa kipato kidogo miongoni wa jamii ni moja kati ya sababu zinazochangia watu wengi kushindwa kujiunga katika mifuko ya hifadhi ya jamii nchini na hivyo… Continue reading

Rate this:

Tanecu

TANECU NA MAKUSANYO YA KOROSHO JUMLA ya kilo milioni 21,314,157 za korosho zimekusanywa kutoka kwa wakulima wa zao hilo wa wilaya za Newala na Tandahimba mkoani Mtwara tangu kuanza kwa msimu wa mauzo… Continue reading

Rate this:

UVCCM na korosho Mtwara

UVCCM WAICHONGEA BODI YA KOROSHO KWA JK UMOJA wa Vijana Mkoa wa Mtwara UVCCM, umemuomba Rais Jakaya Kikwete kutumia madaraka aliyonayo kuvunja bodi ya korosho iliyopo madarakani mara moja kwa madai kuwa ndio… Continue reading

Rate this:

BIMA YA AFYA YAWABANA WANAOTUMIA KADI BANDIA

BIMA YA AFYA YAWABANA WANAOTUMIA KADI BANDIA Na Kusini Ripota, Mtwara. WANACHAMA wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) mkoani Mtwara wamehimizwa kurejesha kadi zao za uanachama mara baada ya uanachama… Continue reading

Rate this:

SERIKALI YAOMBWA KUWAPA DILI WAJASIRIAMALI WADOGO

WAPENI DILI WAJASIRIAMALI WADOGO WANAWAKE. Na Ripota wa Kusini, Mtwara. TAASISI za umma, makampuni binafsi yamehimizwa kuwatumia wajasiriamali wadogo wanawake kuwapa huduma mbalimbali wanazohitaji ili kuwajengea uwezo badala ya kufuata huduma hizo katika… Continue reading

Rate this:

CHAUME NA RASILIMALI ZA UMMA

RASILIMALI ZA UMMA, Na Kusini Ripota, Chaume. MAFUNZO ya uwajibikaji wa jamii katika usimamizi wa rasilimali za umma katika sekta ya kilimo na mifugo yamebaini kuwapo kwa ubadhilifu uliofanyika katika mradi wa DADPS… Continue reading

Rate this:

KIGODA AFUNGUA MAONESHO YA WAJASILIAMALI MTWARA

Rate this: