NANYAMBA WAELIMISHWA UTAWALA BORA

Na Ripota wa Kusini, Nanyamba WENYEVITI wa vijiji, maafisa watendaji wa vijiji na kata, na madiwani wa tarafa ya Nanyamba wilaya ya Mtwara mkoani hapa, wamepatiwa mafunzo ya stadi za utawalabora ili waweze kutekeleza majukumu yao vema. Mafunzo hayo ya siku mbili ambayo yameanza juzi yanakamilika leo JUMATANO katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya tarafa ya Nanyamba,… Continue reading

Rate this:

MWANDISHI NYAISANGA AFARIKI DUNIA

Meneja wa Aboud Media, Julius Nyaisanga,ambaye alikuwa mtangazaji wa Radio One Julius Nyaisanga, amefariki dunia leo majira ya saa moja asubuhi katika hospitali ya Mazimbu Mkoani Morogoro. Taarifa za awali kutoka vyanzo mbalimbali… Continue reading

Rate this:

MaKuYa yafana Mtwara

Picha za matukio ya Tamasha la ngoma za asili la makabila ya Wamakonde, Wamakuwa na Wayao linalojulikana kama MaKuYa linaloendelea mkoani Mtwara. jumla ya vikundi vya ngoma 14 vimeshiriki. Picha zote na Charles… Continue reading

Rate this:

BALOZI WA FINLAND AZINDUA BLOG YA WAANDISHI MTWARA.

Na Faraji Feruzi. Balozi wa Finland hapa nchini Sinikka Antila hii leo ameshiriki katika uzinduzi wa blog ya waandishi wa habari mkoa mtwara wakati akitembelea mabanda mbalimbali katika maonesho ya tamasha la MAKUYA 2013 katika uwanja wa Nangwanda mjini Mtwara. Akizindua blog hiyo inayojulikana kwa jina la kusini.wordpress.com akiongozana na kaimu mkuu wa mkoa wa Mtwara Ponsiano Damiano Nyami, balozi Antila amesifu na kupongeza hatua hiyo ya waandishi wa habari mkoa wa Mtwara kwa hatua kubwa waliyofikia ambayo itatanua wigo wa kupashana habari wao kwa wao lakini hata jamii kwa ujumla. Amesema kuwa ni nadra kwa waandishi wa habari kuungana na kuanzisha kitu cha… Continue reading

Rate this:

WAWILI WAONGEZEKA KESI YA AL SHABAB MTWARA

Na Haika Kimaro Mtwara Polisi mkoani Mtwara imekamata watu wawili kwa tuhuma za kufanya mafunzo ya Al shababi katika msituni wilayani Nanyumbu mkoani hapa na kufanya idadi ya waliokamatwa kufikia 13. Watuhumiwa hao… Continue reading

Rate this:

CCM CHATAKA WAKULIMA KUSIMAMIA MAUZO YA KOROSHO

Abdallah Bakari, Mtwara. Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mtwara kimepingana na Bodi ya Korosho nchini (CBT) juu ya tafsiri ya bei dira ya zao hilo katika msimu 2013/14, huku kikiwataka wakulima wake kuwa… Continue reading

Rate this:

WATANZANIA WENGI HAWAJU KUANDIKA BARUA

Licha ya kufundishwa shule za msingi uandishi wa barua, imebainika kuwa Watanzania wengi hawajui kuandika barua hadi sasa. Ofisa Masoko wa Shirika la Posta Mkoa wa Mtwara, Dismasi Nziku alibainisha hayo juzi wakati… Continue reading

Rate this:

MWANDISHI REDIO ONE APIGWA RISASI

Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mume mtarajiwa wa Ufoo Saro Bw Mushi amempiga risasi mwandishi wa habari wa ITV Ufoo Saro na kumjeruhi tumboni huku akimuua mama mazazi wa Ufoo Saro na kisha… Continue reading

Rate this:

MAJI NDANDA YAFUNGIWA

Maji ya Ndanda Springs pichani Kiwanda cha Maji cha Ndanda Springs kilichopo kijiji cha Mwena , eneo la Ndanda wilayani Masasi mkoani Mtwara kimefungiwa kuzalisha maji hayo kutokana na madai ya kushuka kwa… Continue reading

Rate this:

11 WANASWA WAKIFANYA MAFUNZO YA JESHI MSITUNI

Kamanda Zellothe Stephen akionesha CD za mafunzo ya kijeshi zilizokuwa zinatumiwa na kundi hilo. Abdallah Bakari, Mtwara POLISI mkoani Mtwara inawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kupata mafunzo ya kijeshi mstuni kwa kutumia… Continue reading

Rate this: