WADAU WAIPONGEZA UTAFITI NALIENDELE

Wadau wa tasnia ya Korosho nchini wameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Mazao Naliendele (NARI) mkoani Mtwara kwa kuwezesha upatikani wa teknolojia mbalimbali za uzalishaji bora wa zao hilo hali iliyoongeza uzalishaji… Continue reading

Rate this:

MTANZANIA AJERUHIWA, JESHI LALIPUA JENGO

Mtanzania Vedastus Nsanzugwanko adhuriwa na Al-Shabaab katika Shambulio la WestGate – Nairobi Kwa mmujibu wa BB Jeshi nchini Kenya limeamua kulipua sehemu ya jengo hilo ikiwa ni jitihada za kuwadhibiti al- shabab walioammia… Continue reading

Rate this:

KUKU, NYUKI KUKABILI MABADILIKO YA TABIA NCHI CHAMWINO

Mkuu wa wilaya ya Chamwino, Fatma Ally Abdallah Bakari, Chamwino Njaa imekuwa kikwazo cha maendeleo kwa wakazi 330,543, kati yao wanaume ni 158882 na wanawake 171661 waliojiunga kwenye kaya 69,038 wa wilaya ya… Continue reading

Rate this:

AL-SHABABI WAFUNGUKA MAUAJI KENYA

Baada ya kundi la magaidi kuvamia maduka ya westland nchini kenya juzi asubuhi na kuua zaidi ya watu 69, msemaji wa kundi hilo anafunguka kama alivyokuwa anahojiwa na Jamal Osman Jamal Osman: Kwanini… Continue reading

Rate this:

TUNASUBIRI MAISHA BORA YA ‘JK’

Wanawake hawa ni miongoni mwa Mamilioni wanaosubii ahadi ya ais Jakaa Mrisho Kikwete ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania

Rate this:

SHEIKH, WANANCHI WASUSA MASHUJAA MTWARA

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Masheikh ‘wamesusa’ kuhudhuria maazimisho ya siku ya Mashujaa nchini ambayo katika mkoa wa Mtwara yalifanyika Makabuli ya Mashujaa wa Vita vya Ukombozi Nchini Msumbi yaliyopo Naliendele mjini hapa.… Continue reading

Rate this:

MAKATO YANAVYOUWAMIZA WAKULIMA WA KOROSHO MTWARA

Makato ya shilingi moja kwa kila kilo ya Korosho inayouzwa chini ya mfumo wa Stakabadhi ya Mazao Ghalani kugharamamia kikosi kazi yanaongeza mzigo kwa wakulima wa zao hilo. Uchunguzi wa KUSINI katika wilaya… Continue reading

Rate this:

CHANZO CHA VURUGU ZA WAKULIMA WA KOROSHO CHABAINIKA

pix t2.Watembea kwa miguu wakijaribu kupita eneo lililowekwa magogokuziba barabara kuu itokayo Tandahimba, kwenda Newala katika eneo la kijiji cha Dinduma wilayani Tandahimba wakati wa vurugu za wakulima wa korosho. Picha na Abdallah… Continue reading

Rate this:

VIWANDA 10 VYA KUBANGUA KOROSHO VYAGEUZWA MAGHALA

Viwanda 12 vya kubangua Korosho nchini vilivyobinafsishwa na Serikali ya Awamu ya Tatu, chini ya Rais Benjamin Mkapa hivi sasa havifanyi kazi na vimegeuzwa kuwa maghala ya kuhifadhia mazao. Uchunguzi uliofanywa na KUSINI… Continue reading

Rate this:

GARI LILILOBEBA MABOMBA YA GESI LAVAMIWA

Watu wasiojulikana juzi walivamia gari iliyobeba mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaama na kuvunjaa kioo cha mbele cha gari hilo. Habari zinasema kuwa tukio hilo limetokea majira ya 11… Continue reading

Rate this: