Monthly Archive: April, 2013

BI KIDUDE AFARIKI DUNIA

Marehemu Bi Kidude alikuwa ni gwiji wa muziki katika Bara la Afrika. Jina lake halisi ni Fatuma binti Baraka. Bi Kidude ni msanii mkongwe na mahiri sana katika fani ya muziki wa mwambao… Continue reading

Rate this:

LOWASSA ATUA MTWARA

Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi mkoani Mtwara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Mtwara jana, kuudhuria mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la… Continue reading

Rate this:

BILIONEA SAMBEKE AFARIKI AJALINI

Kwa mara nyingine, Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha imetikiswa, kutokana na kifo cha mfanyabiashara maarufu katika mikoa hiyo, Joseph Sambeke (49) maarufu kama Bob Sambeke. Bob Sambeke alifariki dunia juzi jioni baada ya… Continue reading

Rate this:

LIPUMBA AWASHA TENA MOTO WA GESI

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Serikali inayo wajibu wa kuzuia neema ya gesi iliyopatikana mikoa ya kusini kugeuka kuwa laana kwa kurejea tamko la Ikulu la Oktoba,… Continue reading

Rate this:

  • WAANDISHI