Author Archive

ASASI ZIFANYE KAZI VIJIJINI

ASASI zisizo za kiserikali wilayani Tandahimba mkoa wa Mtwara, zimetakiwa kutekeleza miradi yao maeneo ya vijijini kuliko na watu wengi ambao wanahitaji kusaidiwa kwa kujengewa uwezo katika maeneo muhimu ya afya, elimu na… Continue reading

Rate this:

WAKULIMA WAAMBIWA,TAFUTENI MASOKO KWA MTANDAO

  WAKULIMA wilayani Masasi moa wa Mtwara, wamehimizwa kumuia simu za mkononi na mitandao ya kompyuta kwa kutafuta ushauri wa kitaalamu wa kilimo na masoko ili kujikwamua na tatizo la ubora na soko la mazao wanayolima. Wito huo ulitolewa jana na Katibu Tawala wa wilaya ya Masasi, Danford Peter, wakati wa hafla ya uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa kampuni ya simu Tanzania (TTCL), katika kata ya Lupaso wilayani Masasi, ambapo alimwakilisha mkuu wa wilaya hiyo.… Continue reading

Rate this:

MARUFUKU KUKATA PESA ZA WAKULIMA

  SERIKALI mkoani Mtwara imepiga marufuku kwa vyama vya msingi na mabaraza ya madiwani mkoani hapa kuweka utaratibu wa kukata pesa kutoka katika malipo ya tatu ya mauzo ya korosho wanazotarajiwa kulipwa wakulima… Continue reading

Rate this:

WANAKIKUNDI WA TANGAZO KUJENGEANA NYUMBA

WANACHAMA wa kikundi cha Jitegemee kilichopo katika kijiji cha Tangazo wilayani Mtwara mkoani hapa, wameazimia kujengeana nyumba bora za kisasa ili kuboresha maisha yao na kuendena na mabadiliko yanayotokea kwa sasa.   Akiongea… Continue reading

Rate this:

Masasi, Nanyumbu wapongezwa ujenzi wa maabara

SERIKALI mkoan Mtwara imeridhishwa na kasi ya utekelezaji wa agizo la Raisi kikwete juu ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari za kata, hasa katika wilaya za Masasi, Nanyumbu na masasi mjini.… Continue reading

Rate this:

VIJANA MTWARA WACHANGAMKIA FURSA

ZOEZI la uchukuaji fomu kwaajili ya vijana mbalimbali kushiriki katika Shindano la Mashujaa wa Kesho la Statoil limeendelea kushika kasi huku idadi kubwa ya vijana wakiendelea kurejesha fomu kwa lengo la kushiriki katika kinyang’anyiro hicho.   Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, AfisaMawasilianowa Statoil Tanzania, Erick Mchome alisema hadi sasa zaidi yavijana 150 tayari wamerejesha fomu zao tayari kwa kuyashindanisha mawazo anuai ya miradi yao walio iwasilisha kwaajili ya kushiriki katika shindano hilo.   Mchome alisema vijana hao wamejaza fomu kwaajili ya kushiriki katika shindano hilo kuwania kitita cha Dola 5,000 kwa mshindi wa kwanza”.   “Kimsingizoezihili la shindano la Mashujaa wa… Continue reading

Rate this:

CHANGAMKIENI FURSA

VIJANA Mkoani hapa wametakiwa luchangamkia fursa ya ujasiriamali inayoletwa na Shirika la utafutaji wa gesi la Statoil kwa kuandika wazo la biashara na kushindanishwa ili kupata moja litakaloweza kupatiwa mtaji. Wito huo umetolewa… Continue reading

Rate this:

SHIKAMANENI KATIKA UMOJA

SHIKAMANANI KATIKA UMOJA   WANACCM wilayani kupitia jumuiya zote za chama hicho Newala mkoa wa Mtwara wameshauriwa kuwa na umoja na  kushirikiana na kuwa na upendo miongoni mwao ili kuhakikisha wanapata ushindi wa… Continue reading

Rate this:

Permalink

WATOTO WANAOTUMIKISHWA   JAMII ya wakazi wa mkoa wa Mtwara wenye uwezo kiuchumi wameaswa kujenga tabia ya kujitolea kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi ili kuwawezesha kuishi maisha mazuri hapo baadae badala ya… Continue reading

Rate this:

NANYAMBA NA UTAWALABORA

NANYAMBA NA UTAWALA BORA KUTOKUWAPO kwa uadilifu miongoni mwa watendaji wa vijji,uelewa mdogo wa wananchi juu ya masuala ya utawala na wanasiasa kutoshiriki katika kuhamasisha jamii kuhudhuria katika mikutano ya vijiji ni miongoni… Continue reading

Rate this: