Monthly Archive: May, 2014

Wanawake Mtwara watakiwa kuchangamkia fursa

WANAWAKE mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazojitokeza kutokana na ujio wa makampuni mengi ya uwekezaji yanayokuja mkoani humu kuwekeza katika sekta ya gesi na mafuta. Wito huo umetolewa jana na mwenyekiti… Continue reading

Rate this:

NAZINDUA KIMKOA

MKOA wa Mtwara umezindua dawa ya kuzuia maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ijulikanayo kwa jina la Option B+ ambayo mama ataanzishiwa dawa hizo mara tu atakapogundulika kuwa ana maambukizi… Continue reading

Rate this:

PEMBEJEO ZA RUZUKU

PEMBEJEO ZA RUZUKU SERIKALI imeuagiza mfuko wa kuendeleza zao la korosho nchini kupatia wakulima wa zao hilo pembejeo za ruzuku kwa wakati unaotakiwa ili kuhudumia mashamba yao kwa wakati sambamba na elimu ya… Continue reading

Rate this:

  • WAANDISHI