Monthly Archive: April, 2012

LIPUMBA APOKEWA KWA VILIO TANDAHIMBA

WAFANYABIASHARA wa wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara ambao mabanda yao yameteketea kwa moto Aprili 17, mwaka huu, mwishoni mwa wiki walimpokea Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF)Taifa  Pro. Ibrahim Lipumba kwa vilio alipotembelea… Continue reading

Rate this:

POLISI WADAIWA KUCHOMA MABANDA TANDAHIMBA

WAFANYABIASHARA hambao vibanda vyao vimeteketea kwa moto juzi usiku wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara wamedai kuwa polisi walipora mali za dukani na kuwazuia wananchi kuzima moto kwa kuwapiga mara walipojaribu kukaribia eneo hilo. Wafanyabishara… Continue reading

Rate this:

OFISI YA OCD, VIBANDA VYA BAISHARA ZAIDI YA 50 VYATEKETEZWA KWA MOTO

OFISI ya mkuu wa polisi wa wilaya ya Tandahimba, (OCD) mkoani Mtwara na vibanda vya biashara zaidi ya 50 vimeteketea kwa moto baada ya watu wasiojulikana kuchoma moto na kusababisha harasa ya mamilioni… Continue reading

Rate this:

VURUGU TANDAHIMBA

HALI ya usalama wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara imeendela kuwa tete, kufuatia baadhi ya wakulima wa korosho wilayani humo kufanya vurugu wakishinikiza Serikali iwalipe malipo ya pili ya mauzo ya zao hilo.  … Continue reading

Rate this:

  • WAANDISHI