Monthly Archive: March, 2012

540 BOOST TRASPORT SECTOR IN SOUTHERN REGIONS.

Residents of Mtwara region now can easily flight to Dar es Salaam and elsewhere after air sector boosted by the increasing of number of plane landing in Mtwara airport daily The beginning of… Continue reading

Rate this:

MTWARA WAKUNWA NA UTEUZI WA TIDO

WASOMAJI na wapenzi wa Magazeti ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) mjini Mtwara wamempongeza Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo Tido Mhando kwa kuteuliwa kwake kushika wadhifa huo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na KUSINI… Continue reading

Rate this:

BEI YA SAMAKI MTWARA KUSHUKA

BEI ya Samaki mkoani Mtwara inatarajia kushuka mara dufu katika kipindi cha mwezi mmoja ujao na kuwawezesha wakazi wake kumudu kutumia kitoweo hicho kwa mahitaji ya chakula. Hayo yamebainishwa jana na Mratibu wa… Continue reading

Rate this:

MTWARA HATARINI KUKOSA MAJI

  MANISPAA ya Mtwara-Mikindani ipo hatarini kukosa huduma ya maji baada ya wananchi kuvamia na kuendesha shughuli za kilimo maeneo ya chanzo cha maji cha Mtawanya ambacho kinalisha mji huo. Hayo yamebainishwa mwishoni… Continue reading

Rate this:

MURJI NA MSAADA WA PIKIPIKI KWA VIJANA

Rate this:

Ujenzi wa daraja la Nangoo

Rate this:

POLISI MTWARA YAMDHIBITI MBATIA

SIKU ya Jumapili ilikuwa siku hasi kwa chama cha NCCR Mageuzi baada ya polisi kukinyima kibali cha kuaandamana kushinikiza Serikali kuwalipa fedha zao wakulima wa korosho, kupinga kupelekewa gesi jijini Dar es Salaam… Continue reading

Rate this:

UJENZI WA DARAJA NANGOO SASA UNEANZA

Rate this:

CARE INTERNATIONAL KUWAGA PESA KWA WANAWAKE KUSIN​I

SHIRIKA la Care International limezindua mradi wa miaka Mitano wa kuwawezesha kiuchumi wanawake na watoto wa mikoa ya kusini Lindi na Mtwara, ulioanza kutekelezwa mapema mwezi huu. Ofisa Jinsia na Utawala bora wa… Continue reading

Rate this:

WACHOMA MOTO JENEZA

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida waumini wa dini ya Kiislamu katika kijiji cha Nyundo B, Kata ya Nitekela halmashauri ya wilaya ya Mtwara wamelivunjavunja Jeneza na kisha kulichoma moto muda mfupi baada ya… Continue reading

Rate this:

  • WAANDISHI